Saturday, September 15, 2012

KUTANA NA MWANA DADA MTAALAM WA MAGONJWA MBALIMBALI

 Zahra Mansour ambaye ni Mjasiliamali na tabibu wa magonjwa mbali mbali.



Zahra Mansour ni mwanamke anayetibu magonjwa mbali mbali anayepatikana Soweto Jijini Mbeya hivyo anawakaribisha wenye magonjwa kwa gharama nafuu kabisa.

Hata hivyo waliojaribu kutumia dawa zake wamepona na kutoa ushuhuda jinsi dawa hizo zinavyofanya kazi haraka na kwa uhakika.

Pia ili kukufikia ulipo Mwadada huyo huzunguka maeneo mbali mbali hasa minadani kwa ajili ya kukutana na wananchi wengi wenye matatizo na wanaohitaji matibabu.

Kwa sasa anaendelea na utafiti wa dawa ya kuponya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi ambapo baada ya muda mfupi atawatangazia wananchi wote.

Moja ya magonjwa anayotibu ni Vidonda aina zote, Fungus,Kuongeza kinga Mwilini, Vidonda vya tumbo na mengine mengi ambapo hutumia dawa za miti shamba na vyakula ambavyo vimethibitishwa na mamlaka zinazohusika.

Nyote mnakaribishwa. na kwa taarifa zaidi endelea kutembelea mtandao huu wa www.zaharam2012.blogspot.com au kama una maoni tuma kupitia simu namba 0754301830 na email zaharam2012@gmail.com

No comments: