Shukurani
Nawashukuru wote wanaonipa moyo, hasa kwa hatua niliyochukua ya kuweza kupunguza/kutibu maradhi mbalimbali yanayowakabili watanzania wenzangu.
Ninaheshimu na kutunza siri za wagonjwa wangu, kwani heshima na utu wa mtu ni bora kuliko tiba.
Pia napenda kuwapa moyo wale wote wanaoumwa na kukata tamaa, kwani kuugua siyo kufa.
Unatakiwa kufanya yafuatayo:-
Kuukubali ugonjwa unaokusumbua
Kutafuta suluhu ya tatizo(ugonjwa)
Kupima ilikujua afya yako
Kula vyakula bora
Kujipenda, kujithamini na kukubali changamoto aliyonayo!
Kufanya mazoezi
Kuwa muwazi kwa familia yako
Kupata tiba
Nakaribisha wote wenye matatizo ya afya, wanahitaji ushauri, au wana mawazo, matangazo, mbalimbali waweze kuwasiliana nami kupitia mtandao wangu.
zaharam2012.blogspot.com/zaharam2012@gmail.com au simu namba 0754301830.
wenu,
Zahra Mansour.