Thursday, October 18, 2012

Salamu za Pole kwa familia ya mzee Mwihomeke wa Block T,Mbeya baada ya kufiwa na mke wake mpendwa Martha Mwihomeke.

Tarehe 07/10/2012 ilikuwa siku ya huzuni sana kwangu na familia yangu, hasa baada ya kuondokewa na mama yangu mpendwa (Mama Martha) ambaye nilifanya nae kazi (WRP) kwa kipindi cha miaka 7. Alikuwa ni mama ambaye aliniheshimu, kunifariji, kunishauri nk. , alikuwa ni mama ambaye ni  mchapa kazi, na mwenye moyo wa kujifunza na kujitolea ! She was a real model mother!

Kwa niaba ya familia yangu, ninapenda kutoa pole kwa familia ya bwana Mwihomeke wa Block T, Mbeya kwa kufiwa na mke (mama Martha Mwihomeke)

Pia napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa madaktari na wafanyakazi wote waliomuuguza hasa hospitali ya Rufaa,Mbeya.
Kwani Mungu alimpenda zaidi.

Mwenyezi Mungu apumzishe roho yake mahali pema peponi:AMINA!
Picha zote kwa hisani ya Joel Jailos,Mbeya

 
 
























Mume wa marehemu (mzee Mwihomeke) akitoa salamu za shukurani kwa ndugu jamaa na marafiki












Friday, October 12, 2012

AMSHA SPECIAL HEALING JUICE, AMSHA LIBIDO MIX - Inapatikana sasa

TANGAZO
 Kuanzia leo tarehe 12/10/2012  nimesitisha huduma ya kwenda minadani kwa  muda hasa kwa siku za Jumatatu hadi Jumatano , nitakuwa napatikana ofisini kwangu Soweto kuanzia saa 03:00 asubuhi  hadi saa 10:00 jioni. Hii imetokana na wingi wa wateja kutaka kufika ofisini. Huduma za minadani zitaendelea tena kuanzia tarehe 12/12/2012.

Kuna dawa mpya maalum ya AMSHA LIBIDO MIX, ambayo ina ubora wa hali ya juu, wengi imewasaidia.

Pia kuna  juisi maalum  AMSHA SPECIAL HEALING JUICE kwa ajili ya watu waishio na VVU ambazo zina ubora wa hali ya juu!
Inaongeza hamu ya kula, inaongeza kinga kwa kazi, inaondoa magonjwa nyemelezi ya VVU, inaponyesha vidonda na fungus, inaboresha kumbukumbu, inarekebisha matatizo yote ya tumbo, na kutibu vidonda vya tumbo.

Karibuni sana.


Kwa wahitaji, tafadhali wasiliana nami kupitia 0758708071.



Nafasi kwa ajili ya shule ya awali, Umoja Mbeya

TANGAZO

SHULE YA MSINGI NA AWALI UMOJA SHULE YA MSINGI (ENGLISH MEDIUM)INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KWAMBA TUMEANZA KUANDIKISHA WATOTO KWA AJILI YA NAFASI ZA CHEKECHEA MWAKA 2013.

FOMU ZINATOLEWA SHULENI KWA AJILI YA WATOTO KUANZIA UMRI WA MIAKA MITATU.

TAFADHARI WAHI NAFASI NI CHACHE SANA.

UTAWALA
Tangazo

Traksuit zaidi ya 700 zinahitajika haraka kwa ajili ya shule ya UPNS ! ziwe rangi ya pink kwa ajili ya wasichana, Tshirts round collar ifanane na mistari ya pembeni ya tracksuits, na rangi ya blue round collars ifanane na rangi za tracksuits hizi ni kwa ajili ya wavulana. kama una samples fika na sample zako shuleni hapo.

Friday, October 5, 2012

Umuhimu wa kufanya mapenzi hasa kwa waishio na VVU

Naomba tuzungumzie swala la kufanya mapenzi, na umuhimu wake hasa kwa  wenye VVU

Katika kazi ninayofanya nimegundua ya kuwa mume na mke au wapenzi hawafanyi mapenzi kabisa, wengine hata miaka miwili au mitatu, hasa baada ya kupata maradhi ya VVU, au sababu nyinginezo.

Mimi binafsi sikuridhishwa na hali hiyo, kwani ninaelewa swala la muhimu katika ndoa kufanya mapenzi ni kubwa zaidi kuliko chakula, malazi, mavazi, starehe nk. Ikabidi nipite kwa watu waliobobea na maswala ya Afya na Mapenzi, na kupata ushauri wao. Huu ndio ushauri niliopata, cha muhimu ni kuwa makini na mtu unayefanya nae mapenzi, yawe ni mapenzi ya muendelezo (ndoa), kama utashindwa tumia condom.
Kuna mtu mmoja alisema ya kuwa asipofanya mapenzi anaumwa uti wa mgongo!

Ushauri niliwapa, naomba shirikiana nami kutoa ushauri zaidi.

Health & Sex

10 Surprising Health Benefits of Sex
The health benefits of sex extend well beyond the bedroom. Turns out sex is good for you in ways you may never have imagined.
When you're in the mood, it just might help your health.
How does a juicy sex life do a body good? Let's count the ways. Here are 10 health benefits of sex -- backed up by science.   

1. Less Stress, Better Blood Pressure
Having sex could lower your stress, and your blood pressure.
That finding comes from a Scottish study of 24 women and 22 men who kept records of their sexual activity. The researchers put them in stressful situations, such as speaking in public and doing math out loud, and checked their blood pressure.
People who had had intercourse responded better to stress than those who engaged in other sexual behaviors or abstained.
Another study published in the same journal found that diastolic blood pressure (the second number in a blood pressure test) tends to be lower in people who live together and often have sex. And yet another study found that women who get lots of hugs from their partner tend to have better blood pressure.

2. Sex Boosts Immunity
Having sex once or twice a week has been linked with higher levels of an antibody called immunoglobulin A or IgA, which can protect you from getting colds and other infections. 
So say scientists at Wilkes University in Wilkes-Barre, Pa. They studied 112 college students who kept records of how often they had sex and also provided saliva samples for the study. Those who had sex once or twice a week had higher levels of IgA, an antibody that could help you avoid a cold or other infections, than other students.

3. Sex Burns Calories
Thirty minutes of sex burns 85 calories or more. It may not sound like much, but it adds up: 42 half-hour sessions will burn 3,570 calories, more than enough to lose a pound. Doubling up, you could drop that pound in 21 hour-long sessions.
"Sex is a great mode of exercise," says Patti Britton, PhD, a Los Angeles sexologist. It takes work, from both a physical and psychological perspective, to do it well, she says.

4. Sex Improves Heart Health
Having sex may be good for your heart. A 20-year-long British study shows that men who had sex twice or more a week were half as likely to have a fatal heart attack than men who had sex less than once a month.
And although some older folks may worry that the sex could cause a stroke, that study found no link between how often men had sex and how likely they were to have a stroke. 
5. Better Self-Esteem
Boosting self-esteem was one of 237 reasons people have sex, collected by University of Texas researchers and published in the Archives of Sexual Behavior.
That finding makes sense to Gina Ogden, PhD, a sex therapist and marriage and family therapist in Cambridge, Mass., although she finds that those who already have self-esteem say they sometimes have sex to feel even better.
"One of the reasons people say they have sex is to feel good about themselves," she says. "Great sex begins with self-esteem…If the sex is loving, connected, and what you want, it raises it."
Of course, you don't have to have lots of sex to feel good about yourself. Your self-esteem is all about you -- not someone else. But if you're already feeling good about yourself, a great sex life may help you feel even better.

6. Deeper Intimacy
Having sex and orgasms boosts levels of the hormone oxytocin, the so-called love hormone, which helps people bond and build trust.
In a study of 59 women, researchers checked their oxytocin levels before and after the women hugged their partners. The women had higher oxytocin levels if they had more of that physical contact with their partner.
Higher oxytocin levels have also been linked with a feeling of generosity. So snuggle up -- it might help you feel more generous toward your partner.

7. Sex May Turn Down Pain
Here's another thing the love hormone, oxytocin, does: It boosts your body's painkillers, called endorphins. So if your headache, arthritis pain, or PMS symptoms seem to improve after sex, that may be why.
In one study, 48 people inhaled oxytocin vapor and then had their fingers pricked. The oxytocin cut their pain threshold by more than half.

8. More Ejaculations May Make Prostate Cancer Less Likely
Frequent ejaculations, especially in 20-something men, may lower the risk of getting prostate cancer later in life, some research shows.
For instance, a study published in the Journal of the American Medical Association , found that men who had 21 or more ejaculations a month, were less likely to get prostate cancer than those who had four to seven ejaculations per month.
Of course, that study doesn't prove that ejaculations were the only factor that mattered. Many things affect a person's odds of developing cancer. The researchers did take that into consideration, and the findings still held.

9. Stronger Pelvic Floor Muscles
For women, doing pelvic floor muscle exercises called Kegels may mean will enjoy more pleasure -- and, as a perk, less chance of incontinence later in life.
To do a basic Kegel exercise, tighten the muscles of your pelvic floor, as if you're trying to stop the flow of urine. Count to three, then release.

10. Better Sleep
The oxytocin released during orgasm also promotes sleep, research shows.
Getting enough sleep has also been linked with a host of other health perks, such as a healthy weight and better blood pressure. Something to think about, especially if you've been wondering why your guy can be active one minute and snoring the next.