Friday, October 12, 2012

AMSHA SPECIAL HEALING JUICE, AMSHA LIBIDO MIX - Inapatikana sasa

TANGAZO
 Kuanzia leo tarehe 12/10/2012  nimesitisha huduma ya kwenda minadani kwa  muda hasa kwa siku za Jumatatu hadi Jumatano , nitakuwa napatikana ofisini kwangu Soweto kuanzia saa 03:00 asubuhi  hadi saa 10:00 jioni. Hii imetokana na wingi wa wateja kutaka kufika ofisini. Huduma za minadani zitaendelea tena kuanzia tarehe 12/12/2012.

Kuna dawa mpya maalum ya AMSHA LIBIDO MIX, ambayo ina ubora wa hali ya juu, wengi imewasaidia.

Pia kuna  juisi maalum  AMSHA SPECIAL HEALING JUICE kwa ajili ya watu waishio na VVU ambazo zina ubora wa hali ya juu!
Inaongeza hamu ya kula, inaongeza kinga kwa kazi, inaondoa magonjwa nyemelezi ya VVU, inaponyesha vidonda na fungus, inaboresha kumbukumbu, inarekebisha matatizo yote ya tumbo, na kutibu vidonda vya tumbo.

Karibuni sana.


Kwa wahitaji, tafadhali wasiliana nami kupitia 0758708071.