Friday, October 12, 2012

Tangazo

Traksuit zaidi ya 700 zinahitajika haraka kwa ajili ya shule ya UPNS ! ziwe rangi ya pink kwa ajili ya wasichana, Tshirts round collar ifanane na mistari ya pembeni ya tracksuits, na rangi ya blue round collars ifanane na rangi za tracksuits hizi ni kwa ajili ya wavulana. kama una samples fika na sample zako shuleni hapo.