TANGAZO
15/11/2012
Je wewe ni
mwanafunzi, mwanachuo unahitaji vyumba vya kupanga (hostel)?
Vyumba
vinapangishwa maeneo ya Soweto, Kagera Road, vipo vine, unaruhusiwa kulipa kwa miezi mitatu, sita au mwaka
mmoja.
Endapo
utahitji wasiliana nami 0772708071/0758708071, Mbeya.
Karibu
tukuhudumie
No comments:
Post a Comment